Methali 18:17 - Swahili Revised Union Version17 Ajiteteaye kwanza huonekana kuwa ana haki; Lakini jirani yake huja na kumchunguza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Ajiteteaye kwanza huonekana msema kweli, mpaka hapo mpinzani wake atakapoanza kumhoji. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Ajiteteaye kwanza huonekana msema kweli, mpaka hapo mpinzani wake atakapoanza kumhoji. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Ajiteteaye kwanza huonekana msema kweli, mpaka hapo mpinzani wake atakapoanza kumhoji. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Yeye aliye wa kwanza kuleta mashtaka huonekana sahihi, hadi mwingine ajitokezapo na kumuuliza maswali. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Yeye aliye wa kwanza kuleta mashtaka huonekana sahihi, hadi mwingine ajitokezapo na kumuuliza maswali. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 Ajiteteaye kwanza huonekana kuwa ana haki; Lakini jirani yake huja na kumchunguza. Tazama sura |