Methali 18:18 - Swahili Revised Union Version18 Kura hukomesha mashindano; Hukata maneno ya wakuu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Kura hukomesha ubishi; huamua kati ya wakuu wanaopingana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Kura hukomesha ubishi; huamua kati ya wakuu wanaopingana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Kura hukomesha ubishi; huamua kati ya wakuu wanaopingana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Kupiga kura hukomesha mashindano na kutenganisha wapinzani wakuu wanaopingana. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Kupiga kura hukomesha mashindano na kutenganisha wapinzani wakuu wanaopingana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Kura hukomesha mashindano; Hukata maneno ya wakuu. Tazama sura |
Kwa hiyo Sauli akamwambia BWANA, Mungu wa Israeli, [Kwa nini usimjibu mtumishi wako leo? Ikiwa dhambi iko ndani yangu, au ndani yake Yonathani mwanangu, Ee BWANA, Mungu wa Israeli, utoe Urimu; bali ukisema hivi, Dhambi iko katika watu wako Israeli,] utoe Thumimu. Basi Yonathani na Sauli wakatwaliwa, lakini watu wakapona.