Tena semeni, Tazama, mtumwa wako, Yakobo, yuko nyuma yetu. Maana alisema, Nitamsuluhisha kwa zawadi inayonitangulia, baadaye nitamwona uso wake; huenda atanikubali uso wangu.
Methali 18:16 - Swahili Revised Union Version Zawadi ya mtu humpatia nafasi; Humleta mbele ya watu wakuu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Zawadi humfungulia mtu milango; huweza kumfikisha mtu mbele ya mkuu. Biblia Habari Njema - BHND Zawadi humfungulia mtu milango; huweza kumfikisha mtu mbele ya mkuu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Zawadi humfungulia mtu milango; huweza kumfikisha mtu mbele ya mkuu. Neno: Bibilia Takatifu Zawadi humfungulia njia mtoaji, nayo humleta mbele ya wakuu. Neno: Maandiko Matakatifu Zawadi humfungulia njia mtoaji, nayo humleta mbele ya wakuu. BIBLIA KISWAHILI Zawadi ya mtu humpatia nafasi; Humleta mbele ya watu wakuu. |
Tena semeni, Tazama, mtumwa wako, Yakobo, yuko nyuma yetu. Maana alisema, Nitamsuluhisha kwa zawadi inayonitangulia, baadaye nitamwona uso wake; huenda atanikubali uso wangu.
Yakobo akasema, Sivyo; nakuomba kama nimekubalika machoni pako tafadhali upokee zawadi yangu mkononi mwangu, Hakika, kuona uso wako ni kama kuuona uso wa Mungu – maana umenipokea kwa kibali kama chake.
Israeli, baba yao, akawaambia, Kama ndivyo, fanyeni hivi; twaeni tunu za nchi katika vyombo vyenu, mkamchukulie mtu huyo zawadi, zeri kidogo, na asali kidogo, ubani, na manemane, na jozi, na lozi.
Mfalme wa Shamu akasema, Haya! Basi, mimi nitampelekea mfalme wa Israeli waraka. Basi akaenda zake, akachukua mikononi mwake talanta kumi za fedha, na vipande vya dhahabu elfu sita, na mavazi kumi.
Kipawa ni kama kito cha thamani machoni pake yeye aliye nacho; Kila kigeukapo hufanikiwa.
Yese akatwaa punda, wa kuchukua mikate, na kiriba cha divai, na mwana-mbuzi, akampelekea Sauli kwa mkono wa Daudi mwanawe.
Na sasa zawadi hii, mjakazi wako aliyomletea bwana wangu, na wapewe vijana wamfuatao bwana wangu.