Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 21:14 - Swahili Revised Union Version

14 Kipawa cha siri hutuliza hasira; Na rushwa bindoni humliza ghadhabu kali.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Hasira hutulizwa kwa zawadi ya siri; tunu apewayo mtu imefichwa hupooza ghadhabu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Hasira hutulizwa kwa zawadi ya siri; tunu apewayo mtu imefichwa hupooza ghadhabu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Hasira hutulizwa kwa zawadi ya siri; tunu apewayo mtu imefichwa hupooza ghadhabu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Zawadi inayotolewa kwa siri hutuliza hasira, na rushwa iliyofichwa kwenye nguo hutuliza ghadhabu kali.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Zawadi itolewayo kwa siri hutuliza hasira na rushwa iliyofichwa kwenye nguo hutuliza ghadhabu kali.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

14 Kipawa cha siri hutuliza hasira; Na rushwa bindoni hutuliza ghadhabu kali.

Tazama sura Nakili




Methali 21:14
8 Marejeleo ya Msalaba  

Tena semeni, Tazama, mtumwa wako, Yakobo, yuko nyuma yetu. Maana alisema, Nitamsuluhisha kwa zawadi inayonitangulia, baadaye nitamwona uso wake; huenda atanikubali uso wangu.


Israeli, baba yao, akawaambia, Kama ndivyo, fanyeni hivi; twaeni tunu za nchi katika vyombo vyenu, mkamchukulie mtu huyo zawadi, zeri kidogo, na asali kidogo, ubani, na manemane, na jozi, na lozi.


Asiye haki hutoa rushwa kifuani, Ili kuzipotosha njia za hukumu.


Kipawa ni kama kito cha thamani machoni pake yeye aliye nacho; Kila kigeukapo hufanikiwa.


Zawadi ya mtu humpatia nafasi; Humleta mbele ya watu wakuu.


Watu wengi watamsihi mkuu ili awafadhili; Na kila mtu ni rafiki yake atoaye zawadi.


Basi Daudi akapokea mkononi mwake vitu vile alivyomletea; akamwambia, Haya! Kwea kwa amani kwenda nyumbani kwako; tazama, nimeisikiliza sauti yako, nami nimelikubali ombi lako.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo