Methali 21:15 - Swahili Revised Union Version15 Ni furaha yao wenye haki kutenda hukumu; Lakini ni uharibifu kwao watendao maovu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Haki ikitekelezwa watu wema hufurahi, lakini watu waovu hufadhaishwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Haki ikitekelezwa watu wema hufurahi, lakini watu waovu hufadhaishwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Haki ikitekelezwa watu wema hufurahi, lakini watu waovu hufadhaishwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Wakati haki imetendeka, huleta furaha kwa wenye haki, bali hofu kwa watenda maovu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Wakati haki imetendeka, huleta furaha kwa wenye haki, bali kitisho kwa watenda mabaya. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Ni furaha yao wenye haki kutenda hukumu; Lakini ni uharibifu kwao watendao maovu. Tazama sura |