Biblia ya mtandaoni

Matangazo


Biblia nzima Agano la Kale Agano Jipya




Methali 1:29 - Swahili Revised Union Version

Kwa kuwa walichukia maarifa, Wala hawakuchagua kumcha BWANA.

Tazama sura

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

Kwa kuwa mliyachukia maarifa, wala hamkuchagua kumcha Mwenyezi-Mungu;

Tazama sura

Biblia Habari Njema - BHND

Kwa kuwa mliyachukia maarifa, wala hamkuchagua kumcha Mwenyezi-Mungu;

Tazama sura

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

Kwa kuwa mliyachukia maarifa, wala hamkuchagua kumcha Mwenyezi-Mungu;

Tazama sura

Neno: Bibilia Takatifu

Kwa kuwa walichukia maarifa, wala hawakuchagua kumcha Mwenyezi Mungu,

Tazama sura

Neno: Maandiko Matakatifu

Kwa kuwa walichukia maarifa, wala hawakuchagua kumcha bwana,

Tazama sura

BIBLIA KISWAHILI

Kwa kuwa walichukia maarifa, Wala hawakuchagua kumcha BWANA.

Tazama sura
Tafsiri zingine



Methali 1:29
12 Marejeleo ya Msalaba  

Ikawa, aliposema naye, mfalme akamwambia, Je! Tumekutia wewe kuwa mshauri wa mfalme? Nyamaza; kwa nini upigwe? Ndipo yule nabii akaacha, akasema, Najua ya kuwa Mungu amekusudia kukuangamiza, kwa sababu umeyafanya haya, wala hukulisikiliza shauri langu.


Enyi wajinga, hata lini mtapenda ujinga? Na wenye dharau kupenda dharau yao, Na wapumbavu kuchukia maarifa?


Ukasema, Jinsi nilivyochukia maonyo, Na moyo wangu ukadharau kukemewa;


Maana maagizo hayo ni taa, na sheria hiyo ni nuru, Na maonyo ya kumwadilisha mtu ni njia ya uzima.


Matawi yake yatakapokauka yatavunjwa; wanawake watakuja na kuyachoma moto; kwa maana hawa si watu wenye akili; kwa sababu hiyo yeye aliyewaumba hatawahurumia, yeye aliyewafanya hatawasamehe.


lakini kinatakiwa kitu kimoja tu; na Mariamu amelichagua fungu lililo jema, ambalo hatanyang'anywa.


Maana kila mtu atendaye mabaya huichukia nuru, wala haji kwenye nuru, matendo yake yasije yakakemewa.


akaona ni afadhali kupata mateso pamoja na watu wa Mungu kuliko kujifurahisha katika dhambi kwa muda;