Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 1:29 - Swahili Revised Union Version

29 Kwa kuwa walichukia maarifa, Wala hawakuchagua kumcha BWANA.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 Kwa kuwa mliyachukia maarifa, wala hamkuchagua kumcha Mwenyezi-Mungu;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 Kwa kuwa mliyachukia maarifa, wala hamkuchagua kumcha Mwenyezi-Mungu;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 Kwa kuwa mliyachukia maarifa, wala hamkuchagua kumcha Mwenyezi-Mungu;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 Kwa kuwa walichukia maarifa, wala hawakuchagua kumcha Mwenyezi Mungu,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 Kwa kuwa walichukia maarifa, wala hawakuchagua kumcha bwana,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

29 Kwa kuwa walichukia maarifa, Wala hawakuchagua kumcha BWANA.

Tazama sura Nakili




Methali 1:29
12 Marejeleo ya Msalaba  

Ikawa, aliposema naye, mfalme akamwambia, Je! Tumekutia wewe kuwa mshauri wa mfalme? Nyamaza; kwa nini upigwe? Ndipo yule nabii akaacha, akasema, Najua ya kuwa Mungu amekusudia kukuangamiza, kwa sababu umeyafanya haya, wala hukulisikiliza shauri langu.


Enyi wajinga, hata lini mtapenda ujinga? Na wenye dharau kupenda dharau yao, Na wapumbavu kuchukia maarifa?


Ukasema, Jinsi nilivyochukia maonyo, Na moyo wangu ukadharau kukemewa;


Maana maagizo hayo ni taa, na sheria hiyo ni nuru, Na maonyo ya kumwadilisha mtu ni njia ya uzima.


Matawi yake yatakapokauka yatavunjwa; wanawake watakuja na kuyachoma moto; kwa maana hawa si watu wenye akili; kwa sababu hiyo yeye aliyewaumba hatawahurumia, yeye aliyewafanya hatawasamehe.


lakini kinatakiwa kitu kimoja tu; na Mariamu amelichagua fungu lililo jema, ambalo hatanyang'anywa.


Maana kila mtu atendaye mabaya huichukia nuru, wala haji kwenye nuru, matendo yake yasije yakakemewa.


akaona ni afadhali kupata mateso pamoja na watu wa Mungu kuliko kujifurahisha katika dhambi kwa muda;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo