Mathayo 9:25 - Swahili Revised Union Version Lakini makutano walipoondoshwa, aliingia, akamshika mkono; yule msichana akasimama. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, umati wa watu ulipoondolewa, Yesu aliingia ndani, akamshika huyo msichana mkono, naye akasimama. Biblia Habari Njema - BHND Basi, umati wa watu ulipoondolewa, Yesu aliingia ndani, akamshika huyo msichana mkono, naye akasimama. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, umati wa watu ulipoondolewa, Yesu aliingia ndani, akamshika huyo msichana mkono, naye akasimama. Neno: Bibilia Takatifu Lakini watu walipokwisha kutolewa nje, akaingia mle ndani na kumshika yule binti mkono, naye akaamka. Neno: Maandiko Matakatifu Lakini watu walipokwisha kutolewa nje, akaingia mle ndani na kumshika yule binti mkono, naye akaamka. BIBLIA KISWAHILI Lakini makutano walipoondoshwa, aliingia, akamshika mkono; yule msichana akasimama. |
Akamshika mkono kijana, akamwambia, Talitha, kumi; tafsiri yake, Msichana, nakuambia, Inuka.
Akamshika mkono yule kipofu, akamchukua nje ya kijiji, akamtemea mate katika macho, akamwekea mikono yake, akamwuliza, Waona kitu?