Mathayo 9:25 - Swahili Revised Union Version25 Lakini makutano walipoondoshwa, aliingia, akamshika mkono; yule msichana akasimama. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Basi, umati wa watu ulipoondolewa, Yesu aliingia ndani, akamshika huyo msichana mkono, naye akasimama. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Basi, umati wa watu ulipoondolewa, Yesu aliingia ndani, akamshika huyo msichana mkono, naye akasimama. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Basi, umati wa watu ulipoondolewa, Yesu aliingia ndani, akamshika huyo msichana mkono, naye akasimama. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Lakini watu walipokwisha kutolewa nje, akaingia mle ndani na kumshika yule binti mkono, naye akaamka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Lakini watu walipokwisha kutolewa nje, akaingia mle ndani na kumshika yule binti mkono, naye akaamka. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI25 Lakini makutano walipoondoshwa, aliingia, akamshika mkono; yule msichana akasimama. Tazama sura |