Marko 5:41 - Swahili Revised Union Version41 Akamshika mkono kijana, akamwambia, Talitha, kumi; tafsiri yake, Msichana, nakuambia, Inuka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema41 Kisha akamshika mkono, akamwambia, “Talitha, kumi,” maana yake, “Msichana, nakuambia, amka!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND41 Kisha akamshika mkono, akamwambia, “Talitha, kumi,” maana yake, “Msichana, nakuambia, amka!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza41 Kisha akamshika mkono, akamwambia, “Talitha, kumi,” maana yake, “Msichana, nakuambia, amka!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu41 Akamshika mtoto mkono, akamwambia, “Talitha koum!” (maana yake, “Msichana, nakuambia: amka!”) Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu41 Akamshika mtoto mkono, akamwambia, “Talitha koum!” (maana yake ni, “Msichana, nakuambia: amka!”) Tazama suraBIBLIA KISWAHILI41 Akamshika mkono kijana, akamwambia, Talitha, kumi; tafsiri yake, Msichana, nakuambia, Inuka. Tazama sura |