Tangu wakati huo Yesu alianza kuwaonya wanafunzi wake ya kwamba imempasa kwenda Yerusalemu, na kupata mateso mengi kwa wazee na wakuu wa makuhani, na waandishi, na kuuawa, na siku ya tatu kufufuka.
Mathayo 26:32 - Swahili Revised Union Version Lakini baada ya kufufuka kwangu, nitawatangulia kwenda Galilaya. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini baada ya kufufuka kwangu, nitawatangulieni Galilaya.” Biblia Habari Njema - BHND Lakini baada ya kufufuka kwangu, nitawatangulieni Galilaya.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini baada ya kufufuka kwangu, nitawatangulieni Galilaya.” Neno: Bibilia Takatifu Lakini baada ya kufufuka kwangu, nitawatangulia kwenda Galilaya.” Neno: Maandiko Matakatifu Lakini baada ya kufufuka kwangu, nitawatangulia kwenda Galilaya.” BIBLIA KISWAHILI Lakini baada ya kufufuka kwangu, nitawatangulia kwenda Galilaya. |
Tangu wakati huo Yesu alianza kuwaonya wanafunzi wake ya kwamba imempasa kwenda Yerusalemu, na kupata mateso mengi kwa wazee na wakuu wa makuhani, na waandishi, na kuuawa, na siku ya tatu kufufuka.
kisha watampeleka kwa Mataifa wapate kumdhihaki, na kumpiga mijeledi, na kumsulubisha; na siku ya tatu atafufuka.
Kisha Yesu akawaambia, Msiogope; nendeni, mkawaambie ndugu zangu waende Galilaya, ndiko watakakoniona.
Na wale wanafunzi kumi na mmoja wakaenda Galilaya hadi katika mlima ule aliowaagiza Yesu.
Lakini nendeni zenu, mkawaambie wanafunzi wake, na Petro, ya kwamba awatangulia kwenda Galilaya; huko mtamwona, kama alivyowaambia.
baadaye aliwatokea ndugu zaidi ya mia tano pamoja; katika hao wengi wanaishi hata sasa, ila baadhi yao wamelala;