Mathayo 26:33 - Swahili Revised Union Version33 Petro akajibu, akamwambia, Wajapochukizwa wote kwa ajili yako, mimi sitachukizwa kamwe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema33 Petro akamwambia Yesu, “Hata kama wote watakuwa na mashaka nawe na kukuacha, mimi sitakuacha kamwe.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND33 Petro akamwambia Yesu, “Hata kama wote watakuwa na mashaka nawe na kukuacha, mimi sitakuacha kamwe.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza33 Petro akamwambia Yesu, “Hata kama wote watakuwa na mashaka nawe na kukuacha, mimi sitakuacha kamwe.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu33 Petro akajibu, “Hata kama wote watakuacha, kamwe mimi sitakuacha.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu33 Petro akajibu, “Hata kama wote watakuacha, kamwe mimi sitakuacha.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI33 Petro akajibu, akamwambia, Wajapochukizwa wote kwa ajili yako, mimi sitachukizwa kamwe. Tazama sura |