Mathayo 26:34 - Swahili Revised Union Version34 Yesu akamwambia, Amin, nakuambia wewe, usiku huu kabla ya kuwika jogoo, utanikana mara tatu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Yesu akamwambia, “Kweli nakuambia, usiku huu kabla jogoo hajawika, utanikana mara tatu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Yesu akamwambia, “Kweli nakuambia, usiku huu kabla jogoo hajawika, utanikana mara tatu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Yesu akamwambia, “Kweli nakuambia, usiku huu kabla jogoo hajawika, utanikana mara tatu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 Isa akamjibu, “Amin, nakuambia, usiku huu, kabla jogoo hajawika, utanikana mara tatu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 Isa akamjibu, “Amin, nakuambia, usiku huu, kabla jogoo hajawika, utanikana mara tatu.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI34 Yesu akamwambia, Amin, nakuambia wewe, usiku huu kabla ya kuwika jogoo, utanikana mara tatu. Tazama sura |