Mathayo 22:36 - Swahili Revised Union Version Mwalimu, katika torati ni amri ipi iliyo kuu? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Mwalimu, ni amri ipi iliyo kuu katika sheria?” Biblia Habari Njema - BHND “Mwalimu, ni amri ipi iliyo kuu katika sheria?” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Mwalimu, ni amri ipi iliyo kuu katika sheria?” Neno: Bibilia Takatifu “Mwalimu, ni amri ipi katika Torati iliyo kuu kuliko zote?” Neno: Maandiko Matakatifu “Mwalimu, ni amri ipi katika Torati iliyo kuu kuliko zote?” BIBLIA KISWAHILI Mwalimu, katika torati ni amri ipi iliyo kuu? |
basi asimheshimu baba yake au mama yake. Mkalitangua neno la Mungu kwa ajili ya mapokeo yenu.
Akamwambia, Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote.
Lakini, ole wenu, Mafarisayo, kwa kuwa mwatoa zaka za mnanaa na mchicha na kila mboga, na huku mwaacha mambo ya adili, na upendo wa Mungu; iliwapasa kuyafanya hayo ya kwanza, bila kuyaacha hayo ya pili.