Furahi sana, Ee binti Sayuni; Piga kelele, Ee binti Yerusalemu; Tazama, mfalme wako anakuja kwako; Ni mwenye haki, naye ana wokovu; Ni mnyenyekevu, amepanda punda, Naam, mwanapunda, mtoto wa punda.
Mathayo 21:4 - Swahili Revised Union Version Haya yote yamekuwa, ili litimie neno lililonenwa na nabii, akisema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Jambo hili lilifanyika ili yale yaliyosemwa na nabii yatimie: Biblia Habari Njema - BHND Jambo hili lilifanyika ili yale yaliyosemwa na nabii yatimie: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Jambo hili lilifanyika ili yale yaliyosemwa na nabii yatimie: Neno: Bibilia Takatifu Haya yalitukia ili litimie neno lililonenwa na nabii, aliposema: Neno: Maandiko Matakatifu Haya yalitukia ili litimie lile lililonenwa na nabii, akisema: BIBLIA KISWAHILI Haya yote yamekuwa, ili litimie neno lililonenwa na nabii, akisema, |
Furahi sana, Ee binti Sayuni; Piga kelele, Ee binti Yerusalemu; Tazama, mfalme wako anakuja kwako; Ni mwenye haki, naye ana wokovu; Ni mnyenyekevu, amepanda punda, Naam, mwanapunda, mtoto wa punda.
Lakini haya yote yamekuwa, ili maandiko ya manabii yatimizwe. Ndipo wanafunzi wote wakamwacha, wakakimbia.
Nayo kesho yake watu wengi walioijia sikukuu walisikia ya kwamba Yesu anakuja Yerusalemu;