Marko 11:7 - Swahili Revised Union Version7 Wakamletea Yesu yule mwanapunda, wakatandika mavazi yao juu yake; akaketi juu yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Wakampelekea Yesu huyo mwanapunda. Wakatandika mavazi yao juu ya huyo mwanapunda na Yesu akaketi juu yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Wakampelekea Yesu huyo mwanapunda. Wakatandika mavazi yao juu ya huyo mwanapunda na Yesu akaketi juu yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Wakampelekea Yesu huyo mwanapunda. Wakatandika mavazi yao juu ya huyo mwanapunda na Yesu akaketi juu yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Kisha wakamleta huyo mwana-punda kwa Isa na kutandika mavazi yao juu yake, naye akampanda. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Kisha wakamleta huyo mwana-punda kwa Isa na kutandika mavazi yao juu yake, naye akampanda. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Wakamletea Yesu yule mwanapunda, wakatandika mavazi yao juu yake; akaketi juu yake. Tazama sura |