Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Luka 19:35 - Swahili Revised Union Version

35 Wakampeleka kwa Yesu, wakatandika nguo zao juu ya mwanapunda, wakampandisha Yesu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

35 Basi, wakampelekea Yesu yule mwanapunda. Kisha wakatandika mavazi yao juu yake, wakampandisha Yesu juu yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

35 Basi, wakampelekea Yesu yule mwanapunda. Kisha wakatandika mavazi yao juu yake, wakampandisha Yesu juu yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

35 Basi, wakampelekea Yesu yule mwanapunda. Kisha wakatandika mavazi yao juu yake, wakampandisha Yesu juu yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

35 Wakamleta kwa Isa, nao baada ya kutandika mavazi yao juu ya huyo mwana-punda, wakampandisha Isa juu yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

35 Wakamleta kwa Isa, nao baada ya kutandika mavazi yao juu ya huyo mwana-punda, wakampandisha Isa juu yake.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

35 Wakampeleka kwa Yesu, wakatandika nguo zao juu ya mwanapunda, wakampandisha Yesu.

Tazama sura Nakili

Luka 19:35
9 Marejeleo ya Msalaba  

Basi wakafanya haraka, kila mtu akalitwaa vazi lake, na kulitia chini yake juu ya madaraja, wakapiga baragumu wakasema, Yehu ni mfalme.

Haya yote yamekuwa, ili litimie neno lililonenwa na nabii, akisema,

wakamleta yule punda na mwanapunda, wakaweka nguo zao juu yao, naye akaketi juu yake.

Wakasema, Bwana anamhitaji.

Na alipokuwa akienda walitandaza nguo zao njiani.

Nayo kesho yake watu wengi walioijia sikukuu walisikia ya kwamba Yesu anakuja Yerusalemu;

Naye Yesu alikuwa amepata mwanapunda, akampanda, kama vile iliyoandikwa,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo