Luka 19:36 - Swahili Revised Union Version36 Na alipokuwa akienda walitandaza nguo zao njiani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema36 Yesu akaendelea na safari, na watu wakatandaza mavazi yao barabarani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 Yesu akaendelea na safari, na watu wakatandaza mavazi yao barabarani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 Yesu akaendelea na safari, na watu wakatandaza mavazi yao barabarani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu36 Alipokuwa akienda, watu wakatandaza mavazi yao barabarani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu36 Alipokuwa akienda akiwa amempanda, watu wakatandaza mavazi yao barabarani. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI36 Na alipokuwa akienda walitandaza nguo zao njiani. Tazama sura |