Yohana 12:15 - Swahili Revised Union Version15 Usiogope, binti Sayuni; tazama, Mfalme wako anakuja, amepanda mwanapunda. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 “Usiogope mji wa Siyoni! Tazama, Mfalme wako anakuja, amepanda mwanapunda!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 “Usiogope mji wa Siyoni! Tazama, Mfalme wako anakuja, amepanda mwanapunda!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 “Usiogope mji wa Siyoni! Tazama, Mfalme wako anakuja, amepanda mwanapunda!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 “Usiogope, ewe Binti Sayuni; tazama, mfalme wako anakuja, amepanda mwana-punda!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 “Usiogope, Ewe binti Sayuni; tazama, Mfalme wako anakuja, amepanda mwana-punda!” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Usiogope, binti Sayuni; tazama, Mfalme wako anakuja, amepanda mwanapunda. Tazama sura |