Yohana 12:14 - Swahili Revised Union Version14 Naye Yesu alikuwa amepata mwanapunda, akampanda, kama vile iliyoandikwa, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Yesu akampata mwanapunda mmoja, akapanda juu yake kama yasemavyo Maandiko: Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Yesu akampata mwanapunda mmoja, akapanda juu yake kama yasemavyo Maandiko: Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Yesu akampata mwanapunda mmoja, akapanda juu yake kama yasemavyo Maandiko: Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Isa akamkuta mwana-punda, akampanda, kama ilivyoandikwa, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Isa akamkuta mwana-punda akampanda, kama ilivyoandikwa, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Naye Yesu alikuwa amepata mwanapunda, akampanda, kama vile ilivyoandikwa, Tazama sura |