Mathayo 20:3 - Swahili Revised Union Version Akatoka mnamo saa tatu, akaona wengine wamesimama sokoni wasiokuwa na kazi; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Akatoka mnamo saa tatu asubuhi, akaona watu wengine wamesimama sokoni, hawana kazi. Biblia Habari Njema - BHND Akatoka mnamo saa tatu asubuhi, akaona watu wengine wamesimama sokoni, hawana kazi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Akatoka mnamo saa tatu asubuhi, akaona watu wengine wamesimama sokoni, hawana kazi. Neno: Bibilia Takatifu “Mnamo saa tatu akatoka tena, akawakuta wengine wamesimama sokoni bila kazi. Neno: Maandiko Matakatifu “Mnamo saa tatu akatoka tena, akawakuta wengine wamesimama sokoni bila kazi. BIBLIA KISWAHILI Akatoka mnamo saa tatu, akaona wengine wamesimama sokoni wasiokuwa na kazi; |
Tazama, uovu wa dada yako, Sodoma, ulikuwa huu; kiburi, na kushiba chakula, na kufanikiwa, hayo yalikuwa ndani yake na binti zake; lakini hukuwasaidia maskini na wahitaji.
Naye alipokwisha kupatana na wafanya kazi kuwapa kutwa dinari, aliwapeleka katika shamba lake la mizabibu.
na hao nao akawaambia, Nendeni nanyi pia katika shamba langu la mizabibu, na iliyo haki nitawapa. Wakaenda.
Basi bwana zake walipoona ya kuwa tumaini la faida yao limewapotea, wakawakamata Paulo na Sila, wakawakokota mpaka sokoni mbele ya wakuu wa mji;
Tena, pamoja na hayo, hujifunza kuwa wavivu, wakizungukazunguka nyumba kwa nyumba; wala si wavivu tu, lakini ni wachongezi na wadadisi, wakinena maneno yasiyowapasa.