Matendo 2:15 - Swahili Revised Union Version15 Sivyo mnavyodhani; watu hawa hawakulewa, kwa maana ni saa tatu ya mchana; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Watu hawa hawakulewa kama mnavyodhani; mbona ni saa tatu tu asubuhi? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Watu hawa hawakulewa kama mnavyodhani; mbona ni saa tatu tu asubuhi? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Watu hawa hawakulewa kama mnavyodhani; mbona ni saa tatu tu asubuhi? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Hakika watu hawa hawajalewa kama mnavyodhania, kwa kuwa sasa ni saa tatu asubuhi! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Hakika watu hawa hawakulewa kama mnavyodhania, kwa kuwa sasa ni saa tatu asubuhi! Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Sivyo mnavyodhani; watu hawa hawakulewa, kwa maana ni saa tatu ya mchana; Tazama sura |