Mathayo 15:15 - Swahili Revised Union Version Basi Petro akajibu, akamwambia, Tueleze mfano huo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Petro akasema, “Tufafanulie huo mfano.” Biblia Habari Njema - BHND Petro akasema, “Tufafanulie huo mfano.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Petro akasema, “Tufafanulie huo mfano.” Neno: Bibilia Takatifu Petro akasema, “Tueleze maana ya huu mfano.” Neno: Maandiko Matakatifu Petro akasema, “Tueleze maana ya huu mfano.” BIBLIA KISWAHILI Basi Petro akajibu, akamwambia, Tueleze mfano huo. |
Kisha Yesu akawaaga makutano, akaingia katika nyumba; wanafunzi wake wakamwendea, wakasema, Tufafanulie mfano wa magugu ya shambani.
wala pasipo mfano hakusema nao; lakini akawaeleza wanafunzi wake mwenyewe mambo yote kwa faragha.
Hata alipoingia nyumbani, ameuacha mkutano, wanafunzi wake wakamwuliza kuhusu ule mfano.