Yohana 16:29 - Swahili Revised Union Version29 Basi wanafunzi wake wakasema, Tazama, sasa wasema waziwazi, wala huneni mithali yoyote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Basi, wanafunzi wake wakamwambia, “Ahaa! Sasa unasema waziwazi kabisa bila kutumia mafumbo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Basi, wanafunzi wake wakamwambia, “Ahaa! Sasa unasema waziwazi kabisa bila kutumia mafumbo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Basi, wanafunzi wake wakamwambia, “Ahaa! Sasa unasema waziwazi kabisa bila kutumia mafumbo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Ndipo wanafunzi wake wakasema, “Sasa unazungumza waziwazi, wala si kwa mafumbo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Ndipo wanafunzi wake wakasema, “Sasa unazungumza waziwazi, wala si kwa mafumbo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI29 Basi wanafunzi wake wakasema, Tazama, sasa wasema waziwazi, wala huneni mithali yoyote. Tazama sura |