Na watu wa mahali pale walipomtambua, walituma watu kwenda nchi zile zilizo kandokando, wakamletea wote waliokuwa wagonjwa;
Mathayo 14:36 - Swahili Revised Union Version nao wakamsihi waguse hata pindo la vazi lake tu; na wote waliogusa wakaponywa kabisa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema wakamwomba awaruhusu waguse tu pindo la vazi lake. Nao wote waliomgusa walipona. Biblia Habari Njema - BHND wakamwomba awaruhusu waguse tu pindo la vazi lake. Nao wote waliomgusa walipona. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza wakamwomba awaruhusu waguse tu pindo la vazi lake. Nao wote waliomgusa walipona. Neno: Bibilia Takatifu wakamsihi awaruhusu wagonjwa waguse tu pindo la vazi lake, nao wote waliomgusa, wakaponywa. Neno: Maandiko Matakatifu wakamsihi awaruhusu wagonjwa waguse tu pindo la vazi lake, nao wote waliomgusa, wakaponywa. BIBLIA KISWAHILI nao wakamsihi waguse hata pindo la vazi lake tu; na wote waliogusa wakaponywa kabisa. |
Na watu wa mahali pale walipomtambua, walituma watu kwenda nchi zile zilizo kandokando, wakamletea wote waliokuwa wagonjwa;
Tena matendo yao yote huyatenda ili kutazamwa na watu; kwa kuwa hupanua hirizi zao, huongeza matamvua yao;
Na kila alikokwenda, akiingia vijijini, au mijini, au mashambani, wakawaweka wagonjwa sokoni, wakamsihi waguse angaa pindo la vazi lake; nao wote waliomgusa wakapona.
Na makutano yote walikuwa wakitaka kumgusa, kwa sababu uweza ulikuwa ukimtoka ukiwaponya wote.
Basi ikiwa mtu hupashwa tohara siku ya sabato, ili Torati ya Musa isije ikavunjika, mbona mnanikasirikia mimi kwa sababu nilimfanya mtu kuwa mzima kabisa siku ya sabato?
Na kwa imani katika jina lake, jina lake limemtia nguvu mtu huyu mnayemwona na kumjua; na imani ile iliyo kwake yeye imempatia huyu uzima huu mkamilifu mbele yenu ninyi nyote.