Marko 3:10 - Swahili Revised Union Version10 Maana aliponya wengi, hata wote waliokuwa na misiba wakamrukia wapate kumgusa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Alikuwa amewaponya watu wengi, na wagonjwa wote wakawa wanamsonga ili wapate kumgusa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Alikuwa amewaponya watu wengi, na wagonjwa wote wakawa wanamsonga ili wapate kumgusa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Alikuwa amewaponya watu wengi, na wagonjwa wote wakawa wanamsonga ili wapate kumgusa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Kwa kuwa alikuwa amewaponya wagonjwa wengi, wale wenye magonjwa walikuwa wanasukumana ili wapate kumgusa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Kwa kuwa alikuwa amewaponya wagonjwa wengi, wale wenye magonjwa walikuwa wanasukumana ili wapate kumgusa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Maana aliponya wengi, hata wote waliokuwa na misiba wakamrukia wapate kumgusa. Tazama sura |