Yohana 6:37 - Swahili Revised Union Version37 Wote anipao Baba watakuja kwangu; wala yeyote ajaye kwangu sitamtupa nje kamwe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema37 Wote anaonipa Baba watakuja kwangu; nami kamwe sitamtupa nje yeyote anayekuja kwangu, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND37 Wote anaonipa Baba watakuja kwangu; nami kamwe sitamtupa nje yeyote anayekuja kwangu, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza37 Wote anaonipa Baba watakuja kwangu; nami kamwe sitamtupa nje yeyote anayekuja kwangu, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu37 Wale wote anipao Baba watakuja kwangu na yeyote ajaye kwangu, sitamfukuza nje kamwe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu37 Wale wote anipao Baba watakuja kwangu na yeyote ajaye kwangu, sitamfukuzia nje kamwe. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI37 Wote anipao Baba watakuja kwangu; wala yeyote ajaye kwangu sitamtupa nje kamwe. Tazama sura |