Kuna atawanyaye, lakini huongezewa zaidi; Kuna azuiaye isivyo haki, lakini huelekea uhitaji.
Mathayo 14:16 - Swahili Revised Union Version Yesu akawaambia, Hawana haja kwenda zao, wapeni ninyi vyakula. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu akawaambia, “Si lazima waende, wapeni nyinyi chakula.” Biblia Habari Njema - BHND Yesu akawaambia, “Si lazima waende, wapeni nyinyi chakula.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu akawaambia, “Si lazima waende, wapeni nyinyi chakula.” Neno: Bibilia Takatifu Isa akawaambia, “Hakuna sababu ya wao kuondoka. Ninyi wapeni chakula.” Neno: Maandiko Matakatifu Isa akawaambia, “Hakuna sababu ya wao kuondoka. Ninyi wapeni chakula.” BIBLIA KISWAHILI Yesu akawaambia, Hawana haja kwenda zao, wapeni ninyi vyakula. |
Kuna atawanyaye, lakini huongezewa zaidi; Kuna azuiaye isivyo haki, lakini huelekea uhitaji.
Hata kulipokuwa jioni, wanafunzi wake walimwendea, wakasema, Mahali hapa ni nyika tupu, na saa imekwisha pita; uwaage makutano, waende zao vijijini, wakajinunulie vyakula.
Akawajibu akiwaambia, Mwenye kanzu mbili na ampe asiye na kanzu; na mwenye vyakula na afanye vivyo hivyo.
Kwa maana wengine walidhania, kwa kuwa Yuda huchukua mfuko, ya kwamba Yesu alimwambia kama, Nunua mnavyovihitaji kwa sikukuu; au kwamba awape maskini kitu.