Mathayo 14:17 - Swahili Revised Union Version17 Wakamwambia, Hamna kitu hapa ila mikate mitano na samaki wawili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Lakini wao wakamwambia, “Tunayo mikate mitano tu na samaki wawili.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Lakini wao wakamwambia, “Tunayo mikate mitano tu na samaki wawili.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Lakini wao wakamwambia, “Tunayo mikate mitano tu na samaki wawili.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Wakamjibu, “Tuna mikate mitano na samaki wawili tu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Wakamjibu, “Tuna mikate mitano na samaki wawili tu.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 Wakamwambia, Hamna kitu hapa ila mikate mitano na samaki wawili. Tazama sura |