Mhubiri 11:2 - Swahili Revised Union Version2 Uwagawie sehemu watu saba, hata wanane; Maana hujui baa gani litakalokuwa juu ya nchi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Wagawie watu saba hata wanane sehemu yako, maana, hujui balaa litakalofika duniani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Wagawie watu saba hata wanane sehemu yako, maana, hujui balaa litakalofika duniani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Wagawie watu saba hata wanane sehemu yako, maana, hujui balaa litakalofika duniani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Wape sehemu watu saba, naam hata wanane, kwa maana hujui ni baa gani litakalokuwa juu ya nchi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Wape sehemu watu saba, naam hata wanane, kwa maana hujui ni baa gani litakalokuwa juu ya nchi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Uwagawie sehemu watu saba, hata wanane; Maana hujui baa gani litakalokuwa juu ya nchi. Tazama sura |