Mathayo 13:7 - Swahili Revised Union Version Nyingine zikaanguka penye miiba; ile miiba ikamea, ikazisonga; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nyingine zilianguka kwenye miti ya miiba, nayo ikakua na kuzisonga. Biblia Habari Njema - BHND Nyingine zilianguka kwenye miti ya miiba, nayo ikakua na kuzisonga. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nyingine zilianguka kwenye miti ya miiba, nayo ikakua na kuzisonga. Neno: Bibilia Takatifu Mbegu nyingine zilianguka kwenye miiba, nayo miiba hiyo ikakua, ikaisonga hiyo mimea. Neno: Maandiko Matakatifu Mbegu nyingine zilianguka kwenye miiba, nayo miiba hiyo ikakua, ikaisonga hiyo mimea. BIBLIA KISWAHILI Nyingine zikaanguka penye miiba; ile miiba ikamea, ikazisonga; |
Naye aliyepandwa penye miiba, huyo ndiye alisikiaye lile neno; na shughuli za dunia, na udanganyifu wa mali hulisonga lile neno; likawa halizai.
nyingine zikaanguka penye udongo mzuri, zikazaa, moja mia, moja sitini, moja thelathini.