Mathayo 13:6 - Swahili Revised Union Version6 Lakini jua lilipozuka ziliungua; na kwa kuwa hazina mizizi zikanyauka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Jua lilipochomoza, ziliteketea; na kwa kuwa mizizi yake haikuwa na nguvu, zikanyauka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Jua lilipochomoza, ziliteketea; na kwa kuwa mizizi yake haikuwa na nguvu, zikanyauka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Jua lilipochomoza, ziliteketea; na kwa kuwa mizizi yake haikuwa na nguvu, zikanyauka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Lakini jua lilipozidi, mimea ikanyauka na kukauka kwa kuwa mizizi yake haikuwa na kina. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Lakini jua lilipozidi, mimea ikanyauka na kukauka kwa kuwa mizizi yake haikuwa na kina. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Lakini jua lilipozuka ziliungua; na kwa kuwa hazina mizizi zikanyauka. Tazama sura |