Yeye alindaye kinywa chake huilinda nafsi yake; Bali afunuaye midomo yake atapata uharibifu.
Mathayo 12:37 - Swahili Revised Union Version Kwa kuwa kwa maneno yako utahesabiwa haki, na kwa maneno yako utahukumiwa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Maana kwa maneno yako utakubaliwa kuwa mwadilifu, na kwa maneno yako utahukumiwa kuwa na hatia.” Biblia Habari Njema - BHND Maana kwa maneno yako utakubaliwa kuwa mwadilifu, na kwa maneno yako utahukumiwa kuwa na hatia.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Maana kwa maneno yako utakubaliwa kuwa mwadilifu, na kwa maneno yako utahukumiwa kuwa na hatia.” Neno: Bibilia Takatifu Kwa maana kwa maneno yako utahesabiwa haki, na kwa maneno yako utahukumiwa.” Neno: Maandiko Matakatifu Kwa maana kwa maneno yako utahesabiwa haki, na kwa maneno yako utahukumiwa.” BIBLIA KISWAHILI Kwa kuwa kwa maneno yako utahesabiwa haki, na kwa maneno yako utahukumiwa. |
Yeye alindaye kinywa chake huilinda nafsi yake; Bali afunuaye midomo yake atapata uharibifu.
Basi, nawaambia, Kila neno lisilo maana, watakalolinena wanadamu, watatoa hesabu ya neno hilo siku ya hukumu.
Hapo baadhi ya Waandishi na Mafarisayo wakamjibu, wakasema, Mwalimu, twataka kuona ishara kwako.