Mathayo 12:37 - Swahili Revised Union Version37 Kwa kuwa kwa maneno yako utahesabiwa haki, na kwa maneno yako utahukumiwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema37 Maana kwa maneno yako utakubaliwa kuwa mwadilifu, na kwa maneno yako utahukumiwa kuwa na hatia.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND37 Maana kwa maneno yako utakubaliwa kuwa mwadilifu, na kwa maneno yako utahukumiwa kuwa na hatia.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza37 Maana kwa maneno yako utakubaliwa kuwa mwadilifu, na kwa maneno yako utahukumiwa kuwa na hatia.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu37 Kwa maana kwa maneno yako utahesabiwa haki, na kwa maneno yako utahukumiwa.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu37 Kwa maana kwa maneno yako utahesabiwa haki, na kwa maneno yako utahukumiwa.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI37 Kwa kuwa kwa maneno yako utahesabiwa haki, na kwa maneno yako utahukumiwa. Tazama sura |