Marko 7:16 - Swahili Revised Union Version Mtu akiwa na masikio ya kusikilia, na asikie.] Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mwenye masikio na asikie! Biblia Habari Njema - BHND Mwenye masikio na asikie! Neno: Bibilia Takatifu Kama mtu yeyote ana masikio ya kusikia na asikie.]” Neno: Maandiko Matakatifu Kama mtu yeyote ana masikio ya kusikia na asikie.]” BIBLIA KISWAHILI Mtu akiwa na masikio ya kusikilia, na asikie.] |
Hakuna kitu kilicho nje ya mtu ambacho kikimwingia chaweza kumtia unajisi, bali vile vimtokavyo, ndivyo vimtiavyo unajisi yule mtu. [
Hata alipoingia nyumbani, ameuacha mkutano, wanafunzi wake wakamwuliza kuhusu ule mfano.
Nyingine zikaanguka penye udongo mzuri; zikamea, zikazaa moja kwa mia. Alipokuwa akinena hayo alipaza sauti akisema, Mwenye masikio ya kusikizia, na asikie.
Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho anayaambia makanisa. Yeye ashindaye hatapatikana na madhara ya mauti ya pili.
Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho anayaambia makanisa. Yeye ashindaye nitampa baadhi ya ile mana iliyofichwa, nami nitampa jiwe jeupe, na juu ya jiwe hilo limeandikwa jina jipya asilolijua mtu ila yeye anayelipokea.
Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho anayaambia makanisa. Yeye ashindaye, nitampa kula matunda ya mti wa uzima, ulio katika bustani ya Mungu.