Ahabu akamwambia Eliya, Je! Umenipata, ewe adui yangu? Akamwambia, Nimekupata, kwa sababu umejiuza utende yaliyo mabaya machoni pa BWANA.
Marko 6:19 - Swahili Revised Union Version Naye yule Herodia akawa akimvizia, akataka kumwua, asiweze. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, Herodia alimchukia sana Yohane, akataka kumuua, asiweze. Biblia Habari Njema - BHND Basi, Herodia alimchukia sana Yohane, akataka kumuua, asiweze. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, Herodia alimchukia sana Yohane, akataka kumuua, asiweze. Neno: Bibilia Takatifu Kwa hiyo Herodia alikuwa amemwekea Yahya kinyongo, akataka kumuua. Lakini hakuweza, Neno: Maandiko Matakatifu Kwa hiyo Herodia alikuwa amemwekea Yahya kinyongo akataka kumuua. Lakini hakuweza, BIBLIA KISWAHILI Naye yule Herodia akawa akimvizia, akataka kumwua, asiweze. |
Ahabu akamwambia Eliya, Je! Umenipata, ewe adui yangu? Akamwambia, Nimekupata, kwa sababu umejiuza utende yaliyo mabaya machoni pa BWANA.
Maana Herode alikuwa amemkamata Yohana, akamfunga, akamtia gerezani, kwa ajili ya Herodia, mke wa Filipo nduguye.
Hata ilipofika sikukuu ya kuzaliwa kwake Herode, binti ya Herodia alicheza mbele ya watu, akampendeza Herode.