Marko 6:18 - Swahili Revised Union Version18 kwa sababu Yohana alimwambia Herode, Si halali kwako kuwa na mke wa nduguyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Yohane alikuwa amemwambia Herode, “Si halali kwako kumchukua mke wa ndugu yako.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Yohane alikuwa amemwambia Herode, “Si halali kwako kumchukua mke wa ndugu yako.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Yohane alikuwa amemwambia Herode, “Si halali kwako kumchukua mke wa ndugu yako.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Yahya alikuwa amemwambia Herode, “Si halali kwako kuwa na mke wa ndugu yako.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Yahya alikuwa amemwambia Herode, “Si halali kwako kuwa na mke wa ndugu yako.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 kwa sababu Yohana alimwambia Herode, Si halali kwako kuwa na mke wa nduguyo. Tazama sura |