Marko 6:19 - Swahili Revised Union Version19 Naye yule Herodia akawa akimvizia, akataka kumwua, asiweze. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Basi, Herodia alimchukia sana Yohane, akataka kumuua, asiweze. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Basi, Herodia alimchukia sana Yohane, akataka kumuua, asiweze. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Basi, Herodia alimchukia sana Yohane, akataka kumuua, asiweze. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Kwa hiyo Herodia alikuwa amemwekea Yahya kinyongo, akataka kumuua. Lakini hakuweza, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Kwa hiyo Herodia alikuwa amemwekea Yahya kinyongo akataka kumuua. Lakini hakuweza, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Naye yule Herodia akawa akimvizia, akataka kumwua, asiweze. Tazama sura |