Mhubiri 7:9 - Swahili Revised Union Version9 Usifanye haraka kukasirika rohoni mwako, Maana hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Usiwe mwepesi wa hasira, maana, hasira hukaa ndani ya wapumbavu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Usiwe mwepesi wa hasira, maana, hasira hukaa ndani ya wapumbavu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Usiwe mwepesi wa hasira, maana, hasira hukaa ndani ya wapumbavu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Usiwe mwepesi kukasirika rohoni mwako, kwa kuwa hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Usiwe mwepesi kukasirika rohoni mwako, kwa kuwa hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Usifanye haraka kukasirika rohoni mwako, Maana hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu. Tazama sura |
Hao watu wa Israeli wakawajibu watu wa Yuda, wakasema, Sisi tunazo sehemu kumi katika mfalme, tena tunayo haki yetu katika Daudi zaidi kuliko ninyi; mbona basi ninyi mmetudharau sisi, msitake ushauri wetu kwanza katika kumrudisha tena mfalme wetu? Na maneno ya watu wa Yuda yakawa makali kuliko maneno ya watu wa Israeli.