Isaya 42:20 - Swahili Revised Union Version20 Unaona mambo mengi, lakini huyatii moyoni; masikio yake yako wazi, lakini hasikii. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Nyinyi mmeona mambo mengi, lakini hamwelewi kitu. Masikio yenu yako wazi, lakini hamsikii kitu!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Nyinyi mmeona mambo mengi, lakini hamwelewi kitu. Masikio yenu yako wazi, lakini hamsikii kitu!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Nyinyi mmeona mambo mengi, lakini hamwelewi kitu. Masikio yenu yako wazi, lakini hamsikii kitu!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Mmeona vitu vingi, lakini hamkuzingatia; masikio yenu yako wazi, lakini hamsikii chochote.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Mmeona vitu vingi, lakini hamkuzingatia; masikio yenu yako wazi, lakini hamsikii chochote.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 Unaona mambo mengi, lakini huyatii moyoni; masikio yake yako wazi, lakini hasikii. Tazama sura |