Marko 6:18 - Swahili Revised Union Version kwa sababu Yohana alimwambia Herode, Si halali kwako kuwa na mke wa nduguyo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yohane alikuwa amemwambia Herode, “Si halali kwako kumchukua mke wa ndugu yako.” Biblia Habari Njema - BHND Yohane alikuwa amemwambia Herode, “Si halali kwako kumchukua mke wa ndugu yako.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yohane alikuwa amemwambia Herode, “Si halali kwako kumchukua mke wa ndugu yako.” Neno: Bibilia Takatifu Yahya alikuwa amemwambia Herode, “Si halali kwako kuwa na mke wa ndugu yako.” Neno: Maandiko Matakatifu Yahya alikuwa amemwambia Herode, “Si halali kwako kuwa na mke wa ndugu yako.” BIBLIA KISWAHILI kwa sababu Yohana alimwambia Herode, Si halali kwako kuwa na mke wa nduguyo. |
Tena mwanamume akimtwaa mke wa nduguye, ni upotovu; ameufunua utupu wa nduguye; hao watakuwa hawana wana.