Marko 5:17 - Swahili Revised Union Version Wakaanza kumsihi aondoke katika eneo lao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, wakaanza kumwomba aondoke katika nchi yao. Biblia Habari Njema - BHND Basi, wakaanza kumwomba aondoke katika nchi yao. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, wakaanza kumwomba aondoke katika nchi yao. Neno: Bibilia Takatifu Basi watu wakaanza kumwomba Isa aondoke katika nchi yao. Neno: Maandiko Matakatifu Basi watu wakaanza kumwomba Isa aondoke katika nchi yao. BIBLIA KISWAHILI Wakaanza kumsihi aondoke katika eneo lao. |
Akamwambia Eliya, Nina nini nawe, Ee mtu wa Mungu? Je! Umenijia ili dhambi yangu ikumbukwe, ukamwue mwanangu?
Na tazama, mji wote ukatoka kwenda kumlaki Yesu; nao walipomwona, walimsihi aondoke katika nchi yao.
akapiga kelele kwa sauti kuu, akasema, Nina nini nawe, Yesu, Mwana wa Mungu aliye juu? Nakuapisha kwa Mungu usinitese.
Simoni Petro alipoona hayo, alianguka magotini mbele ya Yesu, akisema, Ondoka kwangu, kwa kuwa mimi ni mtu mwenye dhambi, Bwana.
Na jamii ya watu wa nchi ya Wagerasi iliyo karibu walimwomba aondoke kwao, kwa kuwa walishikwa na hofu kubwa; basi akapanda katika mashua, akarudi.
Sasa basi, mbona tufe? Maana moto huu mkubwa utatuteketeza; tukiisikia tena sauti ya BWANA, Mungu wetu, tutakufa.