Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 26:16 - Swahili Revised Union Version

16 Abimeleki akamwambia Isaka, Utoke kwetu, maana wewe una nguvu sana kuliko sisi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Ndipo Abimeleki akamwambia Isaka, “Ondoka kwetu, kwani wewe umetuzidi nguvu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Ndipo Abimeleki akamwambia Isaka, “Ondoka kwetu, kwani wewe umetuzidi nguvu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Ndipo Abimeleki akamwambia Isaka, “Ondoka kwetu, kwani wewe umetuzidi nguvu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Ndipo Abimeleki akamwambia Isaka, “Ondoka kwetu, kwa maana umetuzidi nguvu sana.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Ndipo Abimeleki akamwambia Isaka, “Ondoka kwetu, kwa maana umetuzidi nguvu sana.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

16 Abimeleki akamwambia Isaka, Utoke kwetu, maana wewe una nguvu sana kuliko sisi.

Tazama sura Nakili

Mwanzo 26:16
2 Marejeleo ya Msalaba  

Basi Isaka akatoka huko akapiga kambi katika bonde la Gerari, akakaa huko.

Akawaambia watu wake, Angalieni, watu wa wana wa Israeli ni wengi tena wana nguvu kuliko sisi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo