Mwanzo 26:17 - Swahili Revised Union Version17 Basi Isaka akatoka huko akapiga kambi katika bonde la Gerari, akakaa huko. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Basi, Isaka akaondoka huko, akapiga kambi yake katika bonde la Gerari, akakaa huko. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Basi, Isaka akaondoka huko, akapiga kambi yake katika bonde la Gerari, akakaa huko. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Basi, Isaka akaondoka huko, akapiga kambi yake katika bonde la Gerari, akakaa huko. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Basi Isaka akatoka huko, akajenga kambi katika Bonde la Gerari, akaishi huko. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Basi Isaka akatoka huko akajenga kambi katika Bonde la Gerari, akaishi huko. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 Basi Isaka akatoka huko akapiga kambi katika bonde la Gerari, akakaa huko. Tazama sura |