Heri ninyi mpandao mbegu kando ya maji yote, na kuiacha miguu ya ng'ombe na punda waende kokote.
Marko 4:14 - Swahili Revised Union Version Mpanzi huyo hulipanda neno. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mpanzi hupanda neno la Mungu. Biblia Habari Njema - BHND Mpanzi hupanda neno la Mungu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mpanzi hupanda neno la Mungu. Neno: Bibilia Takatifu Yule mpanzi hupanda neno. Neno: Maandiko Matakatifu Yule mpanzi hupanda neno. BIBLIA KISWAHILI Mpanzi huyo hulipanda neno. |
Heri ninyi mpandao mbegu kando ya maji yote, na kuiacha miguu ya ng'ombe na punda waende kokote.
Kila mtu alisikiapo neno la ufalme bila kulielewa, huja yule mwovu, akalinyakua lililopandwa moyoni mwake. Huyo ndiye aliyepandwa karibu na njia.
Hawa ndio walio kando ya njia lipandwapo neno; nao, wakiisha kusikia, mara huja Shetani, akaliondoa lile neno lililopandwa mioyoni mwao.
kama walivyotuhadithia wale waliokuwa mashahidi wenye kuyaona, na watumishi wa lile neno tokea mwanzo,