Matendo 8:4 - Swahili Revised Union Version4 Lakini wale waliotawanyika wakaenda huku na huko wakilihubiri neno. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Wale waumini waliotawanyika, walikwenda kila mahali wakihubiri ule ujumbe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Wale waumini waliotawanyika, walikwenda kila mahali wakihubiri ule ujumbe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Wale waumini waliotawanyika, walikwenda kila mahali wakihubiri ule ujumbe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Kwa hiyo wale waliotawanyika wakalihubiri neno la Mungu kila mahali walipoenda. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Kwa hiyo wale waliotawanyika wakalihubiri neno la Mungu kila mahali walipokwenda. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Lakini wale waliotawanyika wakaenda huku na huko wakilihubiri neno. Tazama sura |