Marko 4:13 - Swahili Revised Union Version13 Akawaambia, Hamjui mfano huu? Basi mifano yote mtaitambuaje? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Basi, Yesu akawauliza, “Je, nyinyi hamwelewi mfano huu? Mtawezaje basi, kuelewa mfano wowote? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Basi, Yesu akawauliza, “Je, nyinyi hamwelewi mfano huu? Mtawezaje basi, kuelewa mfano wowote? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Basi, Yesu akawauliza, “Je, nyinyi hamwelewi mfano huu? Mtawezaje basi, kuelewa mfano wowote? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Kisha Isa akawauliza, “Hamwelewi maana ya mfano huu? Basi mtaelewaje mifano mingine? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Kisha Isa akawauliza, “Hamwelewi maana ya mfano huu? Basi mtaelewaje mifano mingine? Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Akawaambia, Hamjui mfano huu? Basi mifano yote mtaitambuaje? Tazama sura |