Marko 16:13 - Swahili Revised Union Version Na hao wakaenda zao wakawapa habari wale wengine; wala hao hawakuwaamini. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nao pia wakaenda, wakawaambia wenzao. Hata hivyo hawakuamini. Biblia Habari Njema - BHND Nao pia wakaenda, wakawaambia wenzao. Hata hivyo hawakuamini. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nao pia wakaenda, wakawaambia wenzao. Hata hivyo hawakuamini. Neno: Bibilia Takatifu Nao wakarudi na kuwaambia wenzao. Lakini hawakuwasadiki wao pia. Neno: Maandiko Matakatifu Nao wakarudi na kuwaambia wenzao. Lakini hawakuwasadiki wao pia. BIBLIA KISWAHILI Na hao wakaenda zao wakawapa habari wale wengine; wala hao hawakuwaamini. |
Baadaye akaonekana na wale kumi na mmoja walipokuwa wakila, akawakemea kwa kutoamini kwao na ugumu wa mioyo yao, kwa kuwa hawakuwasadiki wale waliomwona alipofufuka katika wafu.
Akamwambia, Wasipowasikia Musa na manabii, hawatashawishika hata mtu akifufuka katika wafu.
Basi walipokuwa hawajaamini kwa furaha, huku wakistaajabu, aliwaambia, Mna chakula chochote hapa?
Basi wanafunzi wengine wakamwambia, Tumemwona Bwana. Akawaambia, Mimi nisipoziona mikononi mwake kovu za misumari, na kutia kidole changu katika mahali pa misumari, na kutia mkono wangu katika ubavu wake, mimi sisadiki hata kidogo.
Basi ndipo alipoingia naye yule mwanafunzi mwingine aliyekuwa wa kwanza kufika kaburini, akaona na kuamini.