Marko 16:11 - Swahili Revised Union Version11 Lakini hao waliposikia kwamba yu hai, naye amemwona, hawakuamini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Lakini waliposikia ya kwamba Yesu yu hai na kwamba Maria Magdalene amemwona, hawakuamini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Lakini waliposikia ya kwamba Yesu yu hai na kwamba Maria Magdalene amemwona, hawakuamini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Lakini waliposikia ya kwamba Yesu yu hai na kwamba Maria Magdalene amemwona, hawakuamini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Lakini waliposikia kwamba Isa yu hai na kwamba Mariamu alikuwa amemwona, hawakusadiki. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Lakini waliposikia kwamba Isa yu hai na kwamba Maria alikuwa amemwona, hawakusadiki. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Lakini hao waliposikia kwamba yu hai, naye amemwona, hawakuamini. Tazama sura |