Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Marko 16:10 - Swahili Revised Union Version

10 Huyo akashika njia akawapasha habari wale waliokuwa pamoja naye, nao wapokuwa wanaomboleza na kulia.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Maria Magdalene akaenda, akawajulisha wale waliokuwa pamoja na Yesu, na wakati huo walikuwa wanaomboleza na kulia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Maria Magdalene akaenda, akawajulisha wale waliokuwa pamoja na Yesu, na wakati huo walikuwa wanaomboleza na kulia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Maria Magdalene akaenda, akawajulisha wale waliokuwa pamoja na Yesu, na wakati huo walikuwa wanaomboleza na kulia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Mariamu akaenda, naye akawaambia wale waliokuwa wamefuatana na Isa, waliokuwa wanaomboleza na kulia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Maria akaenda, naye akawaambia wale waliokuwa wamefuatana na Isa, waliokuwa wanaomboleza na kulia.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

10 Huyo akashika njia akawapasha habari wale waliokuwa pamoja naye, nao walikuwa wanaomboleza na kulia.

Tazama sura Nakili




Marko 16:10
8 Marejeleo ya Msalaba  

Yule kijana alipolisikia neno lile, akaenda zake kwa huzuni; kwa sababu alikuwa na mali nyingi.


ndipo itakapoonekana ishara yake Mwana wa Adamu mbinguni; ndipo mataifa yote ya ulimwengu watakapoomboleza, nao watamwona Mwana wa Adamu akija juu ya mawingu ya mbinguni pamoja na nguvu na utukufu mwingi.


Yesu akawaambia, Walioalikwa arusini wawezaje kuomboleza, muda bwana arusi akiwapo pamoja nao? Lakini siku zitakuja watakapoondolewa bwana arusi; ndipo watakapofunga.


Na mara jogoo akawika mara ya pili. Petro akalikumbuka lile neno aliloambiwa na Yesu, Kabla ya kuwika jogoo mara mbili, utanikana mara tatu. Na alipolifikiri, akalia.


Akawaambia, Ni maneno gani haya mnayosemezana hivi mnapotembea? Wakasimama wamekunja nyuso zao.


Ila kwa sababu nimewaambia hayo huzuni imejaa mioyoni mwenu.


Mariamu Magdalene akaenda, akawapasha wanafunzi habari ya kwamba, Nimemwona Bwana, na ya kwamba amemwambia hayo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo